Senin, 08 Agustus 2011

* YOU BEEN SNAP * THE WORK OF MY CAMERA..KWA WALE MNAOFAHAM MY HOME AND DALSTON .ANGALIENI YALOTUPATA WENZENU JANA 08-08-201"

hivi ndivyo ilivyo now , yani nimetembea karibia masaa mawili, baada ya kutoka job na kukuta hamna njia yakupita kwenda nyumbani kwanguyani hamna mabasi ,..yani ni miguu tu, na nilipokuwa na tembea nilikuwa nakutana na vijana wengi wadogo wakiwa wamefunika nyuso zao ,utakachoona ni macho tu, na wapo na baisikeli zao na chupa mikonini,wanaelekea huko wanako ambiaana kwenye sim, maana wengine

Tidak ada komentar:

Posting Komentar