Selasa, 09 Agustus 2011

Hotuba ya Balozi Maajar alipozindua blogu ya VIJIMAMBO..HONGERA SANA VIJIMAMBO" PAMOJA BLOGA MENZA.. NA YULE ALOTUKANA ETI KWAMBA BLOGU NI ZA BURE HATA MATAIRA WANABLOG ZAO..SASA UTAFYONZAJE.." WEWE HATA UKIPEWA SIM YA MKONI YA BURE ,HUTOWEZA KUITUMIA,ITAKUWA BLOGU.HIVI MNAONA MKIWEKEWA PICHA NA MATANGAZO MBALI MBALI KWENYE HIZI BLOGU MKAONA NI RAHISI SANA.NA BILA KUSAHAU MUDA WAKE" NINGEKUOMBA WEWE ULOTUKANA UIFUNGUE BLOGU YAKO NA UNIJULISHE TAFADHALI. KUDADADEKI AMA KWELI ..UKIMUONA KIPOFU AKIPIGA VIATU RANGI ,JUA KUMENYESHA""

Tidak ada komentar:

Posting Komentar