Rabu, 10 Agustus 2011

* YOU BEEN SNAP * YAWALETEENI HABARI YA KUKETI CHINI MKEKANI NA KULA MSOSI WA MESEJI NDANI YA CHUPI KUTOKA KWA MMKE MWENZA!!

SALAM WADAO WANGU!Hivi ndivyo ilivyokuwa..wacha niwatandikieni mkeka ,haya naweni mikono ketini chini tuanze kuula.msosi huu, mana si msosi wa kuweka mezani tiyari kwa kula  kwa kisu na uma.Yani inawezekana kweli uwe unaishi na mpenzi wako /mme wako ndani ya nyumba utoke uende safarini kurudi umkute eti keshaondoka na kachukua kila kilicho chake, na  ndani ya kabati lako la nguo za ndani UKUTE

Tidak ada komentar:

Posting Komentar