SALAM WADAO WANGU!Hivi ndivyo ilivyokuwa..wacha niwatandikieni mkeka ,haya naweni mikono ketini chini tuanze kuula.msosi huu, mana si msosi wa kuweka mezani tiyari kwa kula kwa kisu na uma.Yani inawezekana kweli uwe unaishi na mpenzi wako /mme wako ndani ya nyumba utoke uende safarini kurudi umkute eti keshaondoka na kachukua kila kilicho chake, na ndani ya kabati lako la nguo za ndani UKUTE
Tidak ada komentar:
Posting Komentar